You are currently viewing VERA SIDIKA:NITAZAA KWA UPASUAJI

VERA SIDIKA:NITAZAA KWA UPASUAJI

Socialite  maarufu Afrika Mashariki Vera Sidika amesisitiza kwamba atajifungua kwa njia ya upasuaji na siyo kwa njia ya kawaida kwa sababu anaogopa uchungu wa leba.

Vera ambaye anatarajia kujifungua muda wowote anasema kwamba, alifanya uamuzi kuwa atajifungua kwa njia ya upasuaji hata kabla hajapata ujauzito.

Mrembo huyo ambaye anatarajia mtoto wake wa kwanza ameapa kwamba hakuna yeyote ambaye anaweza kubadilisha uamuzi wake.

Mpenzi huyo wa mwanamuziki Brown Mauzo amesema kwamba ni heri avumilie kipindi cha uponyaji baada ya kufanyiwa upasuaji kuliko akabiliane na machungu ya leba.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke