You are currently viewing VIDEO VIXEN JACK CLIFF AACHIWA UHURU

VIDEO VIXEN JACK CLIFF AACHIWA UHURU

Baada ya kutumikia kifungo cha miaka zaidi ya 7 jela nchini China kwa mashtaka ya kukutwa na madawa ya kulevya video vixen na x-girlfriend wa msanii Juma jux, Jack Cliff hatimaye ameachiwa uhuru.

Wawili hao wamewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda kadhaa kabla ya mrembo huyo kukamatwa.

Kwa mujibu wa Juma Jux baada ya kupata taarifa za kukamaatwa kwake ,alishirikiana na producer maneck kumuandikia  mrembo huyo wimbo uitwao “Nitasubiri”, kabla ya kuingia kwenye mahusiano na Vanessa Mdee.

Hata hivyo mashabiki wa Jack wamefurahishwa sana na kuachiwa kwake na wamemkaribisha uraiani tena kwa mara nyingine.

Utakumbuka mrembo huyo alitokea kwenye video za ngoma kama She Got a Gwan yake Ngwea na Nataka Kulewa yake Diamond Platnumz.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke