You are currently viewing VIDEO YA WIMBO WA KILLY “NI WEWE” YAFUTWA YOUTUBE KWA MADAI YA HAKIMILIKI

VIDEO YA WIMBO WA KILLY “NI WEWE” YAFUTWA YOUTUBE KWA MADAI YA HAKIMILIKI

Video ya wimbo wa Killy ‘Ni Wewe’ ambao amemshirikisha Harmoninze imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kutokana na malalamiko ya hakimiliki.

Kwa sasa video hiyo haipatikani kwenye mtandao huo kufuatia malalamiko ya hakimiliki kutoka kwa Mutisya Munyithya.

“This video is no longer available due to a copyrighty claims by Ian Mutisya Munyithya” taarifa ya YouTube inaeleza.

Mdundo wa wimbo wa ni wewe wake killy  inafanana kwa kiasi kikubwa na wa wimbo maarufu wa zamani kundi la muziki la Les Wanyika, Sina makosa.

Ikumbukwe mtandao wa Youtube hauruhusu kutumia kazi au kionjo cha mtu mwengine bila makubaliano.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke