Music Video za Staa wa muziki nchini otile brown zimeondolewa kwenye akaunti ya mtandao wa YouTube ya msanii huyo
Ukitembelea kwenye akaunti ya YouTube ya Otile Brown hutafanikiwa kuziona video za nyimbo kama Dusuma, Such Kinda Love, Chaguo La Moyo Wangu na Aiyana kutokana na kuondolewa na aliyezi-upload
Mpaka sasa haijafahamika sababu za kushushwa kwa video hizo za Otile Brown.
Chaguo la Moyo wangu na Dusuma ni video za muziki zenye watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya