Kundi la muziki wa Hiphop nchini Wakadinali anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Albamu yao ya ” Victims of Madness ” ambayo tayari ina takriban miezi minane tangu itoke rasmi.
Good news ni kwamba Album ya “Victims of Madness ” imefanikiwa kufikisha zaidi ya Streams millioni 3 kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa Boomplay.
Ikumbukwe Album ya Victims of madness kutoka kwa kundi la Wakadinali iliachia rasmi machi 4 mwaka wa 2021 ikiwa na jumla ya mikwaju 15 ya moto.