You are currently viewing WANAVOKALI WAACHIA RASMI ALBUM YAO MPYA

WANAVOKALI WAACHIA RASMI ALBUM YAO MPYA

Kundi la muziki nchini Wanavokali limeachia rasmi album yao mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wao.

Album hiyo iitwayo “Wanavokali the Album” ina jumla ya ngoma 11 za moto ikiwa na collabo moja ambayo waamewashirisha wasanii wa kundi la Hart the band.

Wanavokali the Album ni album ya kwanza kwa Wanavokali the Album tangu waanze safari yao ya muziki mwaka wa 2019.

Hata hivyo album hiyo inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mitandao yote ya kukisikiliza na kupakua muziki duniani kama vile Boomplay,Spotify na Apple Music.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke