You are currently viewing WASANII WA P-UNIT WATIA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI MWAKA 2022

WASANII WA P-UNIT WATIA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI MWAKA 2022

Wasanii wanaounda kundi la P-Unit, Frasha na Gabu wametia nia ya kugombea nyadhifa za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022.

Wawili hao wametangaza kuwa watawania viti vya uwakilisha wadi. Francis Aamisi maarufu kama Frasha amesema atasimama kiti cha uwakilisha wadi huko Athi River huku Gabriel Kagundu maarufu kama Gabu akiwania kiti cha uwakilishi wadi eneo la Kenyatta Golf Course mwaka wa 2022.

Wasanii hao wanajiunga na wasanii wengine kama Prezzo na Reuben kigame ambao wametia nia ya kuwania uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke