App maarufu ya mtandao wa kijamii ya WhatsApp ipo kwenye kufanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya WhatsApp Communities.
Inaelezwa kuwa, sehemu ya Communities itakuwa ni maalum kwa viongozi wa vikundi (Group Admins) kuona group zote ambazo wanazisimamia.
Inatajwa kuwa ni sehemu ya kusimamia groups zote ambazo Admins anazisimamia na atakuwa na uwezo wa kutuma message katika groups nyingi kwa pamoja.