You are currently viewing WHATSAPP IMETOA APP MPYA KWA WATUMIAJI WA WINDOWS

WHATSAPP IMETOA APP MPYA KWA WATUMIAJI WA WINDOWS

WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows.

Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya sehemu mpya ya kuchora picture, kuweka texts, na emoji kabla ya kutuma (kama ilivyo katika simu). Tayari inapatikana katika Store ya Windows.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke