WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.
Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.
Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi ya contacts.