You are currently viewing WILLY PAUL AISUTA VIKALI SAFARICOM KISA MAPATO YA SKIZA TUNE

WILLY PAUL AISUTA VIKALI SAFARICOM KISA MAPATO YA SKIZA TUNE

Staa wa muziki nchini Willy Paul ameonesha kusikitishwa na kampuni ya safaricom kutoongeza mapato ya wasanii kupitia Skiza tune.

Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa instagram willy paul ameisuta vikali kampuni ya safaricom akitaka maelezo kamili kuhusu kupunguzwa kwa mapato ya wasanii kupitia skiza tune.

Himaker huyo wa ngoma ya toto amesema alitarajia mapato ya skiza tune ya wasanii itaongezeka baada ya rais Kenyatta kutia saini msaada wa hakimiliki kuwa sheria, mswaada ambao ungetoa fursa kwa wasanii kufaidi na mapato ya kazi zao.

Utakumbukwa sheria mpya ya hakimiliki ilipendekeza wasanii kupata asilimia 52 ya mapato yao kupitia kazi zao huku huku mtoa huduma wa mawasiliano akiambulia asilimia 43  ya mapato.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke