You are currently viewing Willy Paul alamba dili nono ya kufanya kazi na Kampuni ya Oppo

Willy Paul alamba dili nono ya kufanya kazi na Kampuni ya Oppo

Staa wa muziki nchini Willy Paul ametangaza kuingia ubia wa kufanya kazi na kampuni ya simu za mkononi ya OPPO.

Willy Paul ameshare habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram akieleza kwamba ana furaha kujiunga na familia ya Oppo.

“Super excited to announce my partnership with the brand new OPPOReno8 series! We can’t wait to share this exciting new model with you guys!”. Ameandika.

Kwa mafanikio hayo Hitmaker huyo wa “Lalala” atatakiwa kutangaza na kuwashawishi wafuasi wake wazinunue simu mpya aina ya OPPO Reno 8 series kupitia mitandao yake ya kijamii.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke