You are currently viewing WIMBO WA C-KAY LOVE  NWANTITI WAONGOZA KWA STREAMS SPOTIFY

WIMBO WA C-KAY LOVE NWANTITI WAONGOZA KWA STREAMS SPOTIFY

Hitmaker wa ngoma ya Love Nwantiti C-kay ameendelea kufanya poa haswa upande wa streams katika mtandao mbalimbali ya kuuza na kusikiliza muziki duniani.

Hii ni baada ya kufikisha zaidi ya wasikilizaji Million 17 ndani ya mwezi yaani monthly listeners katika mtandao wa Spotify.

C-Kay anakuwa msanii wa kwanza kutoka barani Africa kufikisha jumla ya wasikilizaji hao millioni 17.4 ndani ya mwezi mmoja ,akiivunja rekodi ya mtu mzima burna boy mwenye wasikilizaji millioni 10.2 wa mwezi katika mtandao wa spotify.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke