Winnie Nwagi ni moja kati ya wasanii nchini Uganda wasiotaka masihara kutokana kwa mashabiki wanaomkosoa kwenye mitandaoni ya kijamii.
Katika mahojiano yake hivi karibuni Winnie Nwagi amefichua kwamba alipatwa na msongo wa mawazo kutokana na matusi ya mashabiki mtandaoni.
Hitmaker huyo wa malaika amesema alikuwa analia kila mara anaposoma comment za mashabiki wanaotukana kwenye mitandao ya kijamii lakini alilazimika kupambana wanaomkatisha tamaa mtandaoni kwa kuwa block wanaomuandikia jumbe za matusi dhidi yake.