You are currently viewing WIZKID MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

WIZKID MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Album ijayo ya Wizkid itakuwa ya moto sana.

Amethibitishia meneja wa zamani wa Chris Brown, Mike G kupitia ukurasa wake wa Twitter  kwenye picha ambayo amepozi na mkali huyo kutoka nchini Nigeria.

Mwezi Oktoba mwaka wa 2021 wakati akiwa kwenye ziara yake ya muziki ‘Made In Lagos’ Wizkid alitangaza kuwa Album yake ya Tano itaitwa “More Love, Less Ego” na itatoka mapema mwaka huu.

Mike G kwa sasa anafanya kazi na mastaa wa dunia akiwemo Wizkid, Burna Boy, Young Thug na The Kid Laroi.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke