You are currently viewing YKEE BENDA AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA

YKEE BENDA AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA

Mwanamuziki kutoka Uganda Ykee Benda amemtambulisha msanii wake mpya chini lebo yake ya muziki ya Mpaka Records.

Msanii huyo aitwaye Chembazz atakuwa chini ya mpaka records ambayo itasimamia kazi zake za muziki na tayari ameachia ngoma yake mpya iitwayo “Ntufeelinga” akiwa amemshirikisha bosi wake Ykee Benda.

Chembazz anachukua nafasi ya Dre Cali ambaye alitimukia nchini Canada baada ya kuingia kwenye ugomvi na Ykee Benda kutokana na kesi iliyokuwa ikimuandama ya uongozi wake wa zamani wa Wyse Technologies.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke