You are currently viewing YKEE BENDA KUSTAAFU MUZIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 45

YKEE BENDA KUSTAAFU MUZIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 45

Bosi wa Mpaka Records, Msanii Ykee Benda, ametimiza miaka 5 katika tasnia ya muziki nchini kwa kuachia albamu ya muziki iitwayo “Kirabo”.

Katika kipindi cha miaka mitano ykee benda, amefanikiwa kutoa nyimbo nyingi, ameanzisha lebo ya muziki, amefungua studio ya kurekodi audio na video pamoja na kampuni ya kutangaza biashara ya makampuni.

Sasa akiwa kwenye mahojiano na Galaxy TV, Ykee Benda amesema ana zaidi ya miaka 15 kuupeleka muziki wake kimataifa kabla hajastaafu.

Hitmaker huyo wa “Banange”  amesema kitu ambacho kinaweza kumfanya asistaafu kabla ya kufikisha umri wa miaka 45 ni ishu ya kupoteza sauti ya uimbaji mapema.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke