You are currently viewing ZIZA BAFANA ATANGAZA KUINGIA KWENYE SIASA

ZIZA BAFANA ATANGAZA KUINGIA KWENYE SIASA

Mwanamuziki kutoka uganda , Ziza Bafana ametia nia ya kujitosa kwenye siasa mwaka wa 2026.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bafana amethibitisha kuwania ubunge kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini Uganda kwani ana vigezo vyote vya kuwaongozi wakaazi wa masaka.

Ziza Bafana ambaye alipigia upatu Bobi wWine kutua urais nchini Uganda amesema atawania wadhfa wa ubunge kupitia tiketi ya chama cha NUP.

Mwaka wa 2021 wanamuziki wengi walipata nyadhfa mbali mbali za kisiasa baada ya wananchi kuwapigia kura kwa wingi.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke