You are currently viewing ZIZA BAFANA KUMUANIKA ROGER LUBEGA KWA MAOVU ALIYOMFANYIA

ZIZA BAFANA KUMUANIKA ROGER LUBEGA KWA MAOVU ALIYOMFANYIA

Msanii wa muziki wa dancehalll kutoka Uganda Ziza Bafana amehapa kuanika maovu yote ambayo meneja wa Spice Diana, Roger Lubega alimfanyia kipindi wanafanya kazi pamoja.

Hii ni baada Gravity Omutujju kudai kwamba Spice Diana na meneja wake Roger Lubega ni wanafiki kwa kuwa hawajawahi watakia mema wasanii wengine kwenye shughuli zao za muziki.

Roger aliacha kufanya kazi na Ziza Bafana mwaka wa 2016 ambapo alianza kusimamia muziki wa Spice Diana baada ya msanii huyo kushindwa kumlipa pesa zake.

Tangu wakati huu Bafana amekuwa akisuasua kimuziki jambo ambalo limemfanya kumlaumu Roger Lubega kwa masaibu yanayomuandama huku akidai kuwa amemfanyia vitendo vya kishirikina.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke