Hitmaker wa ngoma ya “Mwambie”, Msanii Zuchu amefanikiwa kufikisha jumla ya subscribers Milioni 2 kwenye channel yake ya youtube.
Zuchu anakuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki mwenye Subscribers Milioni 2 na wanne Afrika akiwa ametanguliwa na Sherine (Misri) , Zina Daoudia (Morocco) na Yemi Alade (Nigeria).
Katika hatua nyingine Zuchu pia Kupitia channel yake ya YouTube hadi sasa kazi zake zimetazamwa zaidi ya mara milioni 327,652,269 tangu ajiunge na mtandao huo Januari 29 mwaka wa 2019.